SHEIKH wa njia wa Dar es Salaam, Alhad Mussa akimkaribisha Mwanazuoni na Mnajimu maarufu. Sheikh Hussein Yahya kwenye Maulid ya Mtume Muhammad (SAW) kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es salaam, usiku wa kuamkia leo.Sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa akitoa mawaidha kwenye Maulidi hayo.Baadhi ya viongozi mashuhuri waliohudhuria Maulidi hayo
Sheikh Yahya Hussein akisoma Quran tukufu ikiwa ni sehemu ya ufunguzi wa Maulidi hayo yaliyofanyika viwanja vya Manazi Mmoja Dar es salaam usiku wa kuamkia leo.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269