Breaking News

Your Ad Spot

Feb 5, 2010

BASTOLA YA SIMU YA MKONONI!!!!!!!!!!!

THE WORLD IS GOING CRAZY EVERY SECOND.

BAADHI ya watu wamekuwa wakiona kuwa jambo la maudhi la kupotezewa muda wanapopekuliwa kwenye viwanja vya ndege wakati wanasafiri au kuingia eneo hilo kwa shughuli yoyote.
Lakini ukiona picha hii ambayo unaweza kudhani kuwa ni simu ya mkononi tu na kumbe ni silaha yenye kuua kwa kutumia risasi za moto utakubaliana kwamba ni lazima upekuzi wa makini ufanyike kwenye viwanja vya ndege na kila panapostahili usalama wa uhakika. Kwa hiyo unapotakiwa simu yako ipekuliwe kwa vyombo maalum usishangae na kuona kuwa ni usumbufu.
Taarifa hii iliyopatikana katika moja ya blog mashuhuri hapa nchini, inaeleza zaidi
         Beneath the digital phone face is a .22 caliber handgun capable of firing four rounds in rapid succession using the standard telephone keypad. European law enforcement officials are stunned by the discovery of these deadly decoys. They say phone guns are changing the rules of engagement in Europe .
     Only when you have one in your hand do you realize that they are heavier than a regular cell phone. Be patient if security asks to look at your cell phone or turn it on to show that it works. They have a good reason!
       Wake up to our NEW WORLD!!
We shouldn't complain about airport security 'invading your privacy. At first sight you will think the piece below is a mobile phone, but you will discover that you are wrong by taking a critical look at it the second time. This is a real, functional and deadly gun!
 Pls disseminate this information to all people in your area. Pls sensitize all the security guards on this latest development.

Mdau

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages