
WATU wakimsaidia abiria katika basi dogo aina ya Isuzu ambaye alipoteza fahamu baada ya basi hilo kukwanguliwa rishani na loro ambalo lilitokweka katika eneo la Kibamba, pale ambako watu kumi walikufa papo hapo baada ya hiace kuangukiwa na lori la mafuta.


WATU wakimsaidia abiria katika basi dogo aina ya Isuzu ambaye alipoteza fahamu baada ya basi hilo kukwanguliwa rishani na loro ambalo lilitokweka katika eneo la Kibamba, pale amko watu kumi walikufa papo hapo baada ya hiace kuangukiwa na lori la mafuta.

Sehemu iya vioo vilivyovunjika katika eneo alilokuwa mekaa mwanamke huyo katika basio dodo lenye namba T 155 AKC
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269