Breaking News

Your Ad Spot

Mar 1, 2010

MASHOGA WAVURUGA MISA UHOLANZI

AMSTERDAM, UHOLANZI
MAMIA ya mashoka wamevuruga misa kwa kumzomea  baada ya Pandri kumyima mkate wa bwana 'komunio' shoga  mwenzao..
      Tukio hilo linaripotiwa kutokea mwishoni mwa wiki katika Kanisa Katoliki mjini hapa, wakati baadhi ya waumini walikuwa wakipokjea komunio hiyo kiimanai ya Kikristu ni takatifu.
  Habari zinasema kashehe lilitimbwirika kanisani baada ya mmoja kujitangaza kuwa ni shoga, hatua iliyonfanya Padre kumsitukia na kukataa kumpa skramnenti hiyo.
  Kwa mujibu wa habari hizo, baada ya Padri kugairi kumpa skramenti mashoga wenzake walichachamaa na kuanza kumzomea Padre, na kufuatiwa na waumini wengune kukasirishwa na tukio hilo hivyo kuamua kutoka kanisani hatua iliyosababisha misa kusimama.
  Uholanzi ni miongoni mwa nchi za mwanzo kuruhusu ndoa za jinsia moja tangu mwaka 2001, ambapo Waholanzi wengi wanaunga mkono haki za mashoga. huku msimamo wa Kanisa Katoliki ukipingana na kwa kuwa imani yake bado inasimama kwamba ndoa za jinsia moja ni dhambi.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages