
MALIKIA wa taarab Bi. Kidude Baraka akitumbuiza usiku huu katika hoteli ya Travertine, Magomeni Mapipa, jijini Dar katika onesho kabambe akishirikiana na Jahazi Modern Taarab, Mwanahawa Ally na Babu Ayubu. Bi. Kidude ambaye yupo Dar kwa vekesheni fupi alikonga nyoyo za mamia ya mashabiki waliofurika ukumbini kwa kibao chake kisichochuja cha 'muhogo wa Jang'ombe'.

Kiongozi wa Jahazi Modern Taarab, Mzee Yussuf akimtambulisha Bi Kidude jukwaani

Babu Ayubu akifanya vitu vyake jukwaani kujaribu kumpiku Bi Kikdude kwa sauti.

Babu Ayubu na Bi Kidude wakipozi katika picha, ilikuwa Travetine.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269