Mkuu wa Wilaya ya Moshi mjini Musa Samizi wa pili toka kushoto akimpatia zawadi yake mshindi wa kwanza wa mbio za kujifurahisha za 5 kilometa Vodacom Fun run Bw.Wilbrodi Kidaga aliyejinyakulia simu ya mkononi pamoja na muda wa maongezi wenye thamani ya shilingi elfu 60 pamoja na fedha alizopewa kwa njia ya M pesa shilingi Elfu 70,Kushoto katibu wa kamati ya Olimpiki Tanzania Filbati Bayi,katikati ni Mkurugenzi wa Masoko wa Vodacom Tanzania Ephraim Mafuru.
NAIBU Waziri wa Habari na Michezo Joel Bendera na Mkurugenzi Mkuu wa wa Masoko wa Vodacom Tanzania Ephraim Mafuru na Meneja Mawasiliano wa Vodacom Nector Foya kushoto wakiwa tayari kwa kuanza mbio za 5 kilometa Vodacom Fun run zilizofanyika mjini Moshi leo.Baadhi ya washiriki wa mbio za 5 kilometa Vodacom Fun Run wakihudhuria mbio hizoBaadhi ya wanariasha walioshiriki mbio hizoWanariadha wakiwa katika mbio hizo za kujifurahisha za 5 kilometa Vodacom fun run
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269