NAIBU Waziri wa Miundombinu Ezekia Chibulunje (katikati) akikata utepe kuzindua ndege mpya ya Kampuni ya Ndege ya Precision no ATR 42-500 leo jijini.Dar es salaam. (wa kwanza kulia) Mkurugenzi wa Bodi Meja jenerali Mstaafu Mrisho Sarakikya akifuatiwa na Mwenyekiti wa Bodi Michael Shirima. pichani wengine kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Presicion Alphonse Kioko akifuatiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Citi bank ya London Munawar Noorani.(Picha na Mwanakombo Jumaa-Maelezo)
Your Ad Spot
Mar 2, 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269