PINDA akimtambulisha, Waziri wa Kilimo na Chakula , Stephen Wasira pamoja na wajumbe wa msafara wake kwa Waziri Mkuu wa Vietnam, Nguyen Tan Dung wakati wa mapokezi hayo. Kulia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,
Balozi Seif Iddi.
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, akikagua gwaride.
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda na mwenyeji wake, Waziri Mkuu wa Vietnam, Nguyen Tan Dung, wakipokea heshima kutoka kwa kamanda wa gwaride maalumu la mapokezi yake, Ikulu ya nchi hiyo mjini Honoi kuanza ziara ya kikazi nchini humo. (Picha na Ofisi ya Wairi Mkuu).
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, akipokea zawadi ya maua alipowasili katika viwanja vya Ikulu ya Hanoi, nchini Vietnam, jana kuanza ziara ya kikazi nchini humo. Kulia ni mwenyeji wake, Waziri Mkuu wa Vietnam, Nguyen Tan Dung.
Your way of telling all in this article is actually good, all can
ReplyDeletewithout difficulty be aware of it, Thanks a lot.
Here is my weblog ; vietnam airlines