Breaking News

Your Ad Spot

Mar 1, 2010

YANGA YAREJEA NA VISINGIZIO

NAADA ya kufungwa bao 1-0 na FC Lupopo ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Jumamosi iliyopita, Yanga imerejea nchini leo na viusingizio kama kawa.
    Kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, Mwenyekiti wa Yanga Imani Madega aliyewasili na timu hiyo aliwaambia waandishi wa habari kwamba, kufikia katika hoteli ya Makamu Mwenyekiti wa Lupopo ni miongoni mwa mambo wanayolalamikia kuwaathiri kimchezo.
   Pia Madega amelai hali ya uwanja kuwa na tope imesababisha timu kufanya vibaya katika mechi hiyo, na kuwamba nusu saa kabla ya kwenda uwanjani kwenye kipute, mashabiki wa soka wa Lupopo walivamia  hotelini na kuzomea.
Mwenyekiti wa Yanga Imani Madega akizungumza baada ya kurejea na timu hiyo kutoka Congo DRC leo jioniuViongozi wa Yanga wakipanda basi baada ya kurejea na timu hiyo kutoka nchini Congo DRCBaadhi ya wachezaji wa Yanga wakisubiri usafiri kutoka uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere baada ya kuwasili leo jioni.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages