Breaking News

Your Ad Spot

Mar 1, 2010

NMB YAZINDUA HUDUMA MPYA YA 'NMB MOBILE' WAHIIIIII

MENEJA Mwandamizi Huduma kwa wateja binafsi wa Benki ya NMB, Abdulmajid Nsekela akifafanua jambo wakati wa kutangaza washindi wa promosheni ya kwanza ya huduma mpya ya 'NMB Mobile' kwenye Makao Makuu ya benki hiyo jijini Dar es salaam, jana. Washindi 20 walijipatia muda wa maongezi na wengine 10 walijipatia simu za mikononi. Kushoto ni ofisa Masoko wa benki hiyo, Maurice Njowok.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages