MHARIRI Mtendaji wa Uhuru Publications Ltd (UPL), Wachapishaji wa Magazeti ya Uhuru,Mzalendo na Burudani, Josiah Mufungo (aliyesimama) akimkaribisha Mwenyekiti wa Bodi ya UPL, Waziri Kiongozi mstaafu, Dk. Mohamed Ghalib Bilal (katikati) kuongoza kikao cha bodi hiyo, leo katika ukumbi wa hoteli ya Peacock, Dar es Salaam. Mufungo pia ni Katibu wa bodi hiyo
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269