MFANYAKAZI wa Uhuru Publications Ltd(UPL), wachapishaji wa magazeti ya Uhuru, Mzalendo na Burudani, Emmanuel Mondi na mkewe, Joyce, wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa mtoto wao, marehemu Emmy Mondi, nyumbani kwao, Mbezi Juu, Dar es Salaam, leo, kabla mwili huo kuzikwa katika makaburi ya Kinondoni.

No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269