Breaking News

Your Ad Spot

Apr 12, 2010

RASI KIKWETE AMJULIA HALI NCHIMBI

Rais Jakaya Kikwete akimjulia hali ndugu John Nchimbi aliyelazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili, katika Taasisi ya MOI baada ya kupata ajali hivi karibuni. Kulia ni Mganga Mkuu wa MOI Profesa Lawrence Museru ambaye baadaye anamwonyesha rais Kikwete X-RAY ya mgonjwa huyo.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages