KATIKA jitihada za kutaka kutoa huduma kwa watu wengi kwa wakati mmoja, Chuo Cha Quran cha Markaz kilichopo Kiwalani jijini Dar es Salaam, kimefanya 'ubunifu' wa kuunganisha vipanya na kuwa daladala moja!, labda tu la kujiuliza ni kama sheria za usalama barabarani zinaruhusu kufanya hivi lete maoni mdau yawafike wahusika.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269