SEHEMU ya mji wa Iringa unavyyonekana kutoka milimani Mnara uliopo katikati ya mji wa Iringa
Vibao vya matangazo katikati ya mjiBarabara kuu ya mjini IringaDaladala ikiwa katika kutoa huduma kutoka mjini katma ilivyo katika miji mingi hapa nchini Kuzagaa kwa vifugo ni miongoni mwa tatizo lililopo Iringa. Pichani mbwa wakiwa katika barabara karibu na ofisi ya mkuu wa mkoa huo leoKibao kuzukujisaidia hovyo. bila shaka hii ni adhabu kubwa ambayo ingefaa kuogopwa.watu wakinunua nguo katika mjini wa Iringasamaki kutoka Mtera wakiwa sokoni Iringa
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269