KATIBU Mkuu wa CCM, Yussuf Makamba akizungumza na waandishi wa habari, katika ukumbi wa sekretarieti, Ofisi Ndido ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba mjini Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Francis Mwonga. Pamoja na mambo mengine amezungumzia kuhusu kujiuzulu kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa UVCCM Sauani hamad Masauni na CCM ilivyojipanga katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
BALOZI wa Zimbabwe hapanchini, Meja Jenerali, Edzai Chimonyo akimkabidhi zawadi Katibu Mkuu wa CCM, Yussuf Makamba, baada ya mazungumzo yao, Ofisi kwa Katibu Mkuu, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumba Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269