MWENYEKITI wa Klabu ya Yanga, Imani Madega akizungumza na waandishi wa habari, makao makuu ya Klabu hiyo mitaa ya Twiga na Jangwani mjini Dar es Salaam, jana. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Yanga, Laurence Mwalusako. Pamoja na mambo mengine, Madega amezungumzia kufikiwa mabakubaliano kati ya timu hiyo na Azamu kumtwaa Mrisho Ngasa.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269