Ni ilizokarabati kwa zaidi ya sh. milioni 331
MKURUGENZI Mtendaji wa Kampuni ya Osaka Stores Ltd ya mjini Dar es Salaam, Edson Mwakatobe (kushoto), akimkabidhi funguo Kamishima Msaidizi wa Polisi Kikosii cha Ujenzi, Rochard Malika katika hafla ya kampuni hiyo kukabidhi kwa jeshi hilo nyumba kumi, vyumba viwili vya madarasa ilivyofonyia ukarabati mkubwa, katika Chuo cha Maofisa Wakuu wa Polisi, Kidatu mkoani Morogoro. Sherehe hiyo ilifanyika chuoni hapo, jana.. Wapili Kulia ni Mkuu wa chuo hicho, Kamishna Msaidizi Ally Lugendo na Wa tatu ni Msimamizi Mkuu wa Ujenzi makao makuu ya jeshi hilo, Mrakibu Mwandamizi, John Muyela.
Mwakatobe akisoma taarifa ya kukamilika kwa mradi wa ukarabati wa nyumba hizo, vyumba viwili vya madarasa ambao umegharimu jumla ya sh. milioni 331.4. Kulia ni Msimamizi Mkuu wa Ujenzi makao makuu ya jeshi hilo, Mrakibu Mwandamizi, John Muyela.
VIONGOZI kutoka makao makuu ya polisi wakikagua chumba cha darasa kabla ya makabidhiano hayo.
KAMISHNA Msaidizi wa Polisi Kikosi cha Ujenzi cha jeshi hilo, Malika, akikagua sehemu ya taa katika
BAADHI ya nyumba zilizofanyiwa ukarabati na kampuni hiyo
MFANYAKAZI akisafisha mazingira ya moja ya nyumba hizo
Mkurugenzi wa Osaka na wafanyakazi wa kampuni hiyio wakikagua kabla ya kukabidhi
Your Ad Spot
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269