MAKAMU Mwenyekiti wa CCM (Bara) Pius Msekwa (kulia) akionyesha kadi yake ya uanachama wa CCM na kadi ya mpiga kura, kabla ya kujiandikisha jana katika daftari la wapigakura za maoni la CCM, katika tawi la CCM Oyseterbay, kata ya Msasani, Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu wa Uchumi na Fedha wa tawi hilo, Dk. Suleiman Mohamed na wa pili ni Katibu wa CCM wa tawi hilo, Edward Mbwambo.Akionyesha kitambulisho chake cha taifa cha mpiga kura.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269