MWENYEKITI wa zamani wa Klabu ya Simba, Hassani Dalali (Wa pili kushoto), akikabidhi nyaraka muhimu za klabu hiyo kwa Mwenyekiti mpya, Aden Rage, katika makabifhiano ya rasmi ya ofisi, yaliyofanyika leo, makao makuu ya Klabu hiyo, mtaa wa Msimbazi mjini Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Simba, Nwina Kaduguda.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269