Breaking News

Your Ad Spot

Sep 14, 2010

BILAL ATUA MTERA

Mgombea Mwenza Dk. Mohamed Gharib Bilal na mkewe Zakia Bilal, wakipunga mikono kuwaaga wananchi wa Jimbo la Kibakwe Wilaya ya Mpwapwa Mkoa wa Dodoma baada ya kumaliza mkutano wa kampeni uliofanyika leo Sept 14 eneo la Stendi ya Mabasi na kumnadi mgombea Ubunge wa Jimbo hilo George Simba Chawene (hayupo pichani).

Mgombea Mwenza Dk. Mohamed Gharib Bilal, akisalimiana na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mtera, Livingstone Joseph Lusinde, baada ya kuwasili katika kijiji cha Mloa Barabarani kwa ajili ya kufanya mkutano wa kampeni leo Sept 14.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages