Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Stephen Ngonyani maarufu kama Profesa Majimarefu Mgombea ubunge Korogwe vijijini kwa tiketi ya CCM wakati aliposimama katika kijiji cha Mashewa Korogwe vijijini lao asubuhi(picha na Freddy Maro)
Your Ad Spot
Sep 14, 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
tumechoka na waganga
ReplyDeletehawa waganga ndio walisababisha maluelue serikalini. engineer anapewa ubwana samaki, dakitari anakuwa waziri wa ulinzi, accountant anapewa ukuu wa mifugo, bwana mifugo anapewa ujenzi
ReplyDeleteMkiwa na pesa bwana mnapeta tu...nawaonea huruma sana vyama vya upinzani, kwani siwasikii wakinadiwa au kupata taarifa zai kiundani
ReplyDelete