Nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Stars, Shadrack Nsajigwa, akimkabidhi Rais Jakaya Kikwete, kombe la Tusker Challenge Cup, timu hiyo ambayo imelitwa ilipolipeleka kombe hilo kwa Rais, Ikulu mjini Dar es Salaam. Kulia ni Waziri mwenye dhamana ya michezo, Dk. Emmanule Nchimbi na wapili ni Mama Salma Kikwete.
Rais Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa Kilimanjaro Stars na viongozi wa timu hiyo, baada ya kumkabidhi kombe. Kilimanjaro Stars ilitwaa kombe hilo, baada ya kuifunga bao 1-0, timu ya Ivory Coast katika mechi ya fainali, kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Jumapili, iliyopita.
Hongera Kilimanjaro Stars!
ReplyDeleteAngalau angalau..bado taifa stars!
ReplyDelete