Breaking News

Your Ad Spot

Dec 14, 2010

ZANTEL KUKOPESHA WATEJA LAP TOP NA MODEM, KUBORESHA HUDUMA ZA INTERNET

KAMPUNI ya simu za mkononi ya Zantel, imezindua mpango mpya wa kukuza zaidi soko lake la huduma za Internet kwa kuwakopesha wateja wake kompyuta ndogo 'lap top' na 'modem' yenye kifurushi cha GB moja kwa mwezi cha matumizi ya interneti. Kompyuta zitakazohusika na bei zake za kukopa zikiwa katika mabano ni, Acer Aspire D 255 10.1" (Sh. 99,900), Dell/Hp 15" (Sh. 140,900), Mac Book Pro 13" 9 (sh. 243,900), na kwamba mkopaji ataweza kulipa kwa mafungu katika kiindi cha miezi 13.
        Pichani, Mkuu wa vitengo vya Masoko wa Zantel, Brian Karokola, akizungumza na waandishi wa habari, jana, mjini Dar es Salaam, kuhusu kuanza kwa kuhuduma hiyo. Kulia ni Kaimu Ofisa Mkuu wa Biashra wa kampuni hiyo, Nitish Malik.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages