Rais Jakaya Kikwete akimwapisha Jaji Mohammed Othman Chande kuwa Jaji Mkuu, leo, Ikulu mjini Dar es Salam. katikati ni Katibu Mkuu Kiongozi, Philemon Luhanjo na kulia ni Jaji Mkuu aliyestaafu leo, Augustine Ramadhani.
Rais Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na jaji mkuu mpya, jaji mstaafu na Majaji wakuu wa Mahakama Kuu katika hafla hiyo.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269