Breaking News

Your Ad Spot

Dec 17, 2010

MEYA NA NAIBU MEYA KINONDONI WAPATIKANA LEO

Meya mpya wa Maniospaa ya Kinondoni Yussuf Mwenda na Naibu Meya wa Manispaa hiyo,Songoro Mnyonge, wakipungia wananchi baada ya kuchaguliwa kwa kura n ingi katika uchaguzi uliofanywa na madiwani leo katika ukumbi wa Manispaa hiyo mjini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages