Breaking News

Your Ad Spot

Dec 16, 2010

DR REMMY AZIKWA DAR

Waimbaji wa kwaya za injili wakitumbuiza kwenye viwanja vya Biafra kabla ya waombolezaji kuaga mwili wa Dk. Remmy leo 
Mjane wa Marehemu Dk. Ongala akiwa na binti  na wajukuu zake  katika viwanja vya Biafra. Kutoka kulia watoto hao ni Mwangaza, Jesca na Aziza. 
Kalimangonga Ongala akiwa na msalaba mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu baba yake, kabla ya shughuli za kuaga kwenye viwanja vya Biafra 
Familia yote ya marehemu Dk. Remmy ikiwa mbele ya jeneza vianja vya Biafra 
Mzee Kitenzugu Makassy ambaye ndiye aliyemleta Tanzania Dk. Remmy Ongala kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, zamani Zaire, akitoa wasifu wa marehemu viwanja vya Biafra. Kushoto ni mwanamuziki Thobias Chidumule aliyewahi kufanyakazi na DkR Remmy 
Waziri wa habari, Utamaduni, Vijana na Michezo, Dk. Emmanuel Nchimbi akiwapa pole familiaya Dk. Remmy Ongala viwanja vya Biafla. Anayempa mkono ni Shema Ongala 
Chidumule akilia katika msiba huo kwenye viwanja vya Biafra 
Shema akijarihiwa na rafiki yake kwenye viwanja vya Biafra

Waziri Dk. Nchimbi akitoa heshima za mwisho
Mjane wa marehemu akisaidiwa kutoa heshima za mwisho, Biafra
Watoto wakitoa heshima za mwisho
Khadija Kopa alikuwa miongoni mwa wanamuziki wengi waliofika kumuaga Dk. Remmy
Baadhi ya waombolezaji waliangua kilio au kububujikwa machozi wakati wa kuaga kama muombolezaji huyu
Watu wakiwa kwenye viwanja vya Biafra
Jeneza likifikishwa kwenye makaburi ya Sinza tayari kuzikwa
Mjane wa marehemy Dk. Ongala akimwaga mchanga kaburini, akiwa wa mwanzo kabla ya kufukiwa kaburi lenye mwili wa Dk. Remmy  kufunga ukurasa wa msiho wa maisha ya Dk. Remmy leo.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages