Aliyekuwa nwanamuziki mkongwe na mahiri hapa nchini, Dk. Remmy Ongala atazikwa leo katika makaburi ya Sinza, Dar es Salaam.
Maziko yatafanyika baada ya mwili wake kuagwa kwanza katika hospitali ya Taifa Muhimbili na baadaye kwenye viwanja vya Biafra, Kinondoni ambako mwili utaagwa kuanzia saa 5 asubuhi hii.
Remmy alifariki dunia mjini Dar es Salaam, mapema wiki hii.
Twakuombea malazi pema peponi
ReplyDelete