Meneja wa bia ya Kilimanjaro, Kavishe akiwakaribisha washiriki wa Bongo Star Search (BSS) walioingia kumi/bora na wale wa tano bora ambao watachuana Ijumaa wiki hii kupata mshindi, walipotembelea kiwwanda cha kampuni ya bia Tanzania (TBL), leo. Wanne kulia ni Mpishi Mkuu wa wa Kilimanjaro, Kelvin Nkya.
Washiriki hao wakiwa na Kavishe na Kelvin kwenye ukumbi wa TBl kabla ya kuanza kutembelea maeneo mbalimbali ya kiwanda hicho leo
Washiriki wa BSS walioingia tano bora wakiwa katika picha ya apamoja na Kavishe na Kelvin
Safari ikaaanza kutembelea kiwanda
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269