Breaking News

Your Ad Spot

Dec 12, 2010

MUHIMBILI WAMPA JK DIGRII YA SHAHADA YA UDAKTARI WA AFYA YA JAMII

Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Afya na Sayansi Shirikishi, Muhimbili  Rais Mstaafu, Ali Hassan Mwinyi , akimtunukia Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete Digrii ya Heshima ya Udaktari wa Afya ya Jamii(Doctor of Public Health, Honoris Causa) wakati wa mahafali ya nne ya Chuo hicho iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.Kushoto akiangalia ni Makamu Mkuu wa Chuo Profesa Kisali Pallangyo. (Picha na Freddy Maro).

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages