Kim Kardashian na Kanye West
Mke
wa msanii Kanye West nchini Marekani mwana mitindo Kim Kardashian West
amekiri kwamba licha ya kuvaa nguo zinazowavutia wengi ulimwenguni yeye
hujikojolea katika suruali zake za ndani zinazozuia mikojo.
''Mimi
hujikojolea kila mara,ni janga kwa kweli'',.huwa hazina mwanya wa
kutosha kuniwezesha kukojoa alisema mwanamke huyo maarufu wakati wa
mahojiano na jarida la Love ambapo baadaye alipigwa picha akiwa uchi.
Hatahivyo dadaake Kardashian, Kourtney naye alijotokeza na kusema si Kim pekee anayejikojolea hata yeye pia.
Kim:
''Kourtney alikuwa amezidisha tabia hiyo''Ninakumbuka tulikuwa katika
hoteli ya Delano mjini Miami -nadhani hawataturuhusu tena kwenda katika
hoteli hiyo.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269