Wanafunzi wa shule hiyo wakiwa na mwalimu wao, kabla ya kuanza kutembelea maeneo mbalimbali ya Ofisi za Uhuru Publications Ltd, mtaa wa Lumumba mjini Dar es Salaam, leo.
Msaidizi wa Mhariri wa Mzalendo, Kulwa Magwa (kushoto), akimtambulisha Msanifu wa Uhuru, Lilian Timbuka (kushoto), kwa wanafunzi hao.
Magwa akitoa maelezo ya utayarishaji wa gazeti wa magazeti ya Uhuru, Mzalendo na Burudani, yanayochapishwa na Uhuru Publications Ltd (UPL), hapa wapo katika chumba chumba cha habari.
Wanafunzi wa shule hiyo, Dev Ramawya na Qays Premji wakisikiliza kwa makini maelezo ya wataalam wa UPL.
Wanafunzi wakimfurahia mpigapicha wetu
Wanafunzi wengine wakifurahi
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269