Mshambuliaji wa Stars, Ngassa akimtoka beki wa Palestina, katika amechi ya kirafki ya Kimataifa, iliyopigwa leo kwenye Uwanja wa Taifa, Dar Mgosi wa Stars akitafuta jinsi ya kumkabili beki wa Palest ine
Yaani...hawa wenzetu muda mwingi wapo vitani, na mpira wanaucheza kwa mashaka, bado tumeshindwa kuwafunga mabao mengi!
ReplyDeleteHata hivyo twawapa hongera kwani ushindi ni ushindi tu, hata bao moja ni ushindi!