Breaking News

Your Ad Spot

Apr 13, 2011

MAANDALIZI TWIGA STARS KOMBE LA AFRIKA

Wachezaji wa timu ya soka ya  taifa ya wanawake 'Twiga Stars' wakifanya mazoezi leo asubuhi kwenye Uwanja wa Karume, Dar es Salaam, ikiwa ni maandalizi ya timu hiyo kwa ajili ya michuano ya awali ya kusaka tiketi ya  kucheza  fainalio za kombe la mataifa ya  Afrika.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages