Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, ambaye pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa,akizungumza na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Magharibi katika ukumbi mikutano wa Tawi la CCM KIembesamaki Wilaya ya hiyo,alipokuwa na mazungumzo na wajumbe wa kamati za siasa za H/kuu za CCM,Kamati za Utekelezaji za Jumuiya ngazi ya Wilaya,Jimbo,Wadi,na Matawi,katika ziara zake za Chama cha Mapinduzi MKoa wa Mjini Magharibi,(kulia) Katibu wa CCM Mkoa wa Mjini Magharibi Adam Paulo Ngalawa,Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Vuai Ali Vuai, na (kushoto) Mwenyekiti wa CCM MKoa Yusuf Moh'd Yussuf.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,pia Mjumbe wa Kati Kuu ya CCM Taifa,akipokea ripoti ya Chama cha Mapinduzi kutoka kwa Katibu wa Wilaya ya Magharibi MKongea Ali Pira,alipofika katika Tawi la CCM Kiembesamaki kuzungumza na wajumbe wa kamati za siasa za H/kuu za CCM,Kamati za Utekelezaji za Jumuiya ngazi ya Wilaya , Jimbo,Wadi,na Matawi,katika ziara zake za Chama cha Mapinduzi MKoa wa Mjii Magharibi.
Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Magharibiwakimasikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa,alipokuwa akizungumza viongozi hao katika ukumbi wa mikutano wa Tawi la CCM Kiembesamaki jana akiwa ziara za kichama katika Mikoa ya Unguja kuzungumza na wajumbe wa kamati za siasa za H/kuu za CCM,Kamati za Utekelezaji za Jumuiya ngazi ya Wilaya,Jimbo,Wadi,na Matawi.
Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Magharibiwakimasikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa,alipokuwa akizungumza viongozi hao katika ukumbi wa mikutano wa Tawi la CCM Kiembesamaki jana akiwa ziara za kichama katika Mikoa ya Unguja kuzungumza na wajumbe wa kamati za siasa za H/kuu za CCM,Kamati za Utekelezaji za Jumuiya ngazi ya Wilaya,Jimbo,Wadi,na Matawi. (Picha na Ramadhan Othman IKULU).
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269