Wachezaji wa timu ya Simba wa wakichuana vikali na mchezaji wa Asante Kotoko ya Ghana katika mchezo wa kirafiki uliofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo jioni.
Asante Kotoko imefanikiwa kuifunga Simba katika kipindi cha pili goli 1-0 huku Simba ambayo ilichezesha kikosi cha pili ikionyesha uwezo mkubwa katika mchezo huo jambo lililowafanya mashabiki kuwashangilia wachezaji hao baada ya mpira kumalizika, lengo la mchezo huo ni kusherehekea miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania. Picha: Full Shangwe
http://forum.ib-scheer.de/post.php?tid=72374
ReplyDeletehttp://negomjob.ru/index.php/topic/40663-replica-watches-uk/index.php?app=forums&module=post§ion=post&do=reply_post&f=10&t=40663