Stesheni Kuu ya Usafiri wa treni kwa njia ya reli kutoka mkoani Kigoma
Moja ya majengo ya kisasa yanayobadili taswira ya mkoa wa Kigoma kimaendeleo. Jengo hili ni la Shirika la Nyumba Tanzania, mjini Kigoma, barabar Kuu ya kwenda nje ya mji huo kutoka eneo la Stesheni Kuu ya reli
Usafiri wa reli bado ndiyo usafiri unaotegemewa sana kutoka mkoani Kigoma kwenda mikoa mingine na baadhi ya maeneo ya pembezoni mwa mkoa. Pichani, abiria waliokuwa wakitaka kusafiri kwa treni jana kutoka stesheni kuu ya reli mkoani humo wakiwa katika foleni ya kukata tiketi
Baadhi ya abiria wanaotoka vijijini hulazimika kulala stesheni kama hawa,
Trafiki ni Tanzania nzima! askari wa kikosi hicho akimhoji jambo mwendesha pikipiki mjini Kigoma leo
Ujasiriamali muhimu: Kina mama wakiwa katika biashara ndogo ndogo mjini Kigoma
Kina Baba na Kina mama wakiwa katika biashara ya dagaa mjini Kigoma.
Wachuuzi wa vitunguu na mazao mengine katika Kijiji cha Bugaga, Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma wakishindana kukimbilia wateja, waliokuwa wanapita na magari katika kijiji hicho, juzi. (INARUHUSIWA PICHA HIZI KUTUMIKA KWENYE VYOMBO VINGINE VYA HABARI KWA HISANI YA DAILY NKOROMO BLOG)
Your Ad Spot
Jul 20, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269