Breaking News

Your Ad Spot

Jul 13, 2012

RAIS KIKWETE AKUTANA NA KAMATI YA BUNGE YA MAMBO YA NJE NA ULINZI NA USALAMA, ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA SMART PARTNERSHIP


Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama jijini London, Uingereza, Julai 12, 2012. Pamoja na Rais ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Waziri Mkuu wa zamani , Edward Lowasasa.  Picha zaidi  BONYEZA HAPA

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages