Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa nchini (UNDP) Bw. Phillippe Poinsot akimkabidhi barua Mwanafunzi wa kidato cha nne wa Shule ya Sekondari Azania Rahim Rajab ambaye ni mmoja wa kati ya wanafunzi wawili wajumbe wa UN Clubs waliochaguliwa kuhudhuria Kongamano la maadhimisho ya siku ya kuzaliwa Rais wa Zamani wa Afrika Kusini Nelson Mandela litakalofanyika Johannesburg Afrika Kusini ambayo huadhimishwa kila mwaka Julai 18.
Wanafunzi hao wamepewa duhamini wa Tiketi za kwenda na kurudi na Shirika la Ndege la Afrika Kusini (South African Airways-SAA). PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269