Breaking News

Your Ad Spot

May 29, 2013

ZIARA YA KINANA MKOANI NJOMBER, CCM YAFUNIKA LUDEWA,

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika leo mjini Ludewa ,mkoani Njombe.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akihutubia mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa mpira Mjini Ludewa mkoani Njombe.
Wasanii wakitumbuiza kwa ngoma wakati wa mkutano huo.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages