Breaking News

Your Ad Spot

Jun 23, 2013

BALIMI YANUFAISHA WADAU KUPITIA SANAA YA NGOMA SHINYANGA

Kiongozi wa kundi laNgoma la Wagoyangi, Ngelela Ng'wanajiluguja (katikati) akifurahia kitita cha shilingi laki sita mara baada ya kukabidhiwa na Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Annarose Nyamubi (wa pili kushoto) baada ya kuibuka mabingwa katika mashindano ya Ngoma Mkoa wa Shinyanga yanayodhaminiwa na Bia ya Balimi, yaliyomalizika mwishoni mwa wiki Mkoani humo. Kushoto ni Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Mkoa wa Shinyanga, Robert Kazinza na Meneja matukio TBL Kanda ya Ziwa, Erick Mwayela.
SHINYANGA, Tanzania.
KUNDI la Ngoma la Mwanajilunguja limefanikiwa kutwaa ubingwa wa mashindano ya Ngoma Mkoa wa Shinyanga yanayodhamniwa na Kampuni ya Bia Tanzania kupitia kinywaji Balimi Extra Lager yaliyomalizika mwishoni mwa wiki mkoani humo. >>Inaendelea>BOFYA  

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages