Breaking News

Your Ad Spot

Jun 22, 2013

JK AHUDHURIA SILVER JUBILEE YA UASKOFU WA ASKOFU TELESPHORI MKUDE WA JIMBO LA MOROGORO

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Maaskofu Katoliki wakati wa maadhimisho ya Sherehe za Miaka 25(Silver jubilee) ya Uaskofu wa Askofu Telesphori  Mkude wa jimbo Katoliki Morogoro zilizofanyika katika Viwanja vya Seminary ya St.Peters mjini Morogoro leo(picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages