Breaking News

Your Ad Spot

Jun 23, 2013

MEYA WA JIJI LA KAMPALA HOI BAADA YA KUTUPIWA BOMU LA MACHOZI AKIWA KATIKA MAANDAMANO

Meya wa mji wa Kampala, nchini Uganda, Erias Lukwago, amelazwa hospitalini nchini humo, baada kutupigwa bomu la machozi akiwa ndani ya gari lake.

Inadaiwa mmoja wa polisi wa kutuliza ghasia (FFU) nchini humo a. k.a ( Kina ras Makunja) ndiye
alitupa katika gari la Mstahiki Meya huyo akiwa katika maandamano mjini Kamapala Picha Kamilkit BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages