Wasanii wa kikundi cha sanaa cha Afrigay Talent Base cha Magomeni Dar es Salaam, kikitumbuiza wakati wa hafla ya wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tvanzania (TBL), kufahi pamoja na familia zao Kunduchi Water Park, Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Fedha wa TBL, Kelvin (kulia), akimkabidhi George Magombeka zawadi ya saa ya ukutani baada ya kuwa mshindi wa riadha katika bonanza hilo la kukata na shoka lililofanyika Kunduchi, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Meneja Uhusiano Mambo ya Nje wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Emma Oriyo (kulia) akimkabidhi zawadi .Mbwana Milanzi baada ya kuwa mshindi wa kwanza wa mbio za magunia katika hafla ya Siku ya wafanyakazi wa TBL kufurahi na familia zao kwenye ufukwe wa Bahari ya Hindi, Kunduchi Dar es Salaam
Meneja Uhusiano Mambo ya Nje wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Emma Oriyo akimkabidhi zawadi .mmoja wa washindi wa riadha kwa upande wa wananwake. Kulia ni Mhandisi Ujenzi wa TBL, John Malisa.
Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakifurahi na familia zao kwa kucheza kushindana kuvuta kamba katika ufukwe wa Bahari ya Hindi, Kunduchi Dar es Salaam, wakati wa sherehe 'Tbl's Family Day'.
Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakifurahi na familia zao kwa kucheza soka katika ufukwe wa Bahari ya Hindi, Kunduchi Dar es Salaam juzi, wakati wa sherehe 'Tbl's Family Day'.

Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakifurahi na familia zao kwa kushindana mbio za magunia katika ufukwe wa Bahari ya Hindi, Kunduchi Dar es Salaam, wakati wa sherehe 'Tbl's Family Day'.
Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakifurahi na familia zao kwa kushindana mbio za magunia katika ufukwe wa Bahari ya Hindi, Kunduchi Dar es Salaam juzi, wakati wa sherehe 'Tbl's Family Day'.
Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakifurahi na familia zao kwa kucheza mpira wa wavu katika ufukwe wa Bahari ya Hindi, Kunduchi Dar es Salaam, wakati wa sherehe 'Tbl's Family Day'.
Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakifurahi na familia zao kwa kucheza mpira wa wavu katika ufukwe wa Bahari ya Hindi, Kunduchi Dar es Salaam, wakati wa sherehe 'Tbl's Family Day'.
Wato wa familia za wafanyakazi wa TBL, wakifurahi kwenye moja ya mabwawa ya kuogelea
Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakifurahi na familia zao kwa kushindana kucheza mpira wa kikapu ndani ya maji eneo la Kunduchi Dar es Salaam juzi, wakati wa sherehe 'Tbl's Family Day'.
Mneja wa Kiwanda cha TBL, Dar es Salaam, Calvin Martine akimkabidhi zawadi mmoja wa wattoto waliofanya vizuri kwenye michezo
Mmoja wa watoto akichorwa usoni wakati wa hafla hiyo
Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakifurahi na familia zao kwa kushindana kucheza mpira wa kikapu ndani ya maji eneo la Kunduchi Dar es Salaam juzi, wakati wa sherehe 'Tbl's Family Day'.
Sasa ni wakati wa maakuli
Ni msosi kwa kwenda mbele
Muziki wa dansi nao haukukosa
Wakishuhudia mambo burudani mbalimbali zilizokuwa zinatolewa katika hafla hiyo
Your Ad Spot
Jun 24, 2013
Home
Unlabelled
MAMBO YALIVYONOGA TBL'S FAMILY DAY DAR
MAMBO YALIVYONOGA TBL'S FAMILY DAY DAR
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269