Helikopta ya Polisi ikiwa katika doria ya hapa na pale, hata hivyo eneo lote la uwanja wa Ndege ulidhibitiwa na Wamarekani wenyewe ikiwemo na kazi ya kuongoza ndege. (Picha na Habari Mseto Blog)
Ulinzi kila kona
Rais Barack Obama wa Marekani akiwa na
mwenyeji wake Rais Jakaya Kikwete mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege
wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
mwenyeji wake Rais Jakaya Kikwete mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege
wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Rais Barack Obama wa Marekani akiwa na mwenyeji wake Rais Jakaya Kikwete mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Rais Barack Obama wa Marekani akiwa na mwenyeji wake Rais Jakaya Kikwete mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Rais Barack Obama wa Marekani akikagua gwaride la heshima wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo.
Rais Baracka Obama akiwapungia wakiangalia vikundi vya ngoma.
Ulinzi ulimarishwa.
Bendera ya Tanzania ikiwekwa katika gari lililombeba Rais wa Marekani, Barack Obama.
Gari alilopanda Rais Obama
Rais Barack Obama akishuka katika ndege iliyomleta huku akiambatana na familia yake.
Rais Obama na mkewe wakipokea maua.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269