Breaking News

Your Ad Spot

Apr 9, 2014

KINANA ATIKISA KASULU, MAELFU WAHUDHURIA MKUTANO WAKE KATIKA KIJIJI CHA KURUGONGO

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akuhutubia maelfu ya wananchi katika Kijiji cha Kurugongo, wilayani Kasulu mkoani Kigoma leo jioni. Kinana yupo katika ziara ya siku tano mkoani Kigoma kukagua utekelezaji wa ilani ya Chama, kusikiliza kero za wananchi na kujadiliana nao njia ya kuzitatua. Picha na Bashir Nkoromo-theNkoromo Blog

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages