Breaking News

Your Ad Spot

Apr 14, 2014

MAZISHI YA MWANDISHI WA HABARI "THOMAS LIPUKA KOMBA"ALIYEZIKWA KIJIJINI KWAO MKILI WILAYANI NYASA

Baadhi ya Waandishi wa habari wakiwa mbele ya sanduku Marehemu Lipuka komba
Baadhi ya waandishi wa habari wa Mkoa wa Ruvuma wakishusha sanduku kaburini
Katibu mtendaji wa Ruvuma Press akichukuwa matukio
Mjane wa marehemu, Christina Haule akiweka shada la maua
NA MWANDISHI WETU Mwandishi wa habari Thomas Lipuka Komba amezikwa kijijini kwake Mkili wilayani Nyasa Juzi.
 
Marehemu alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa moyo kwa muda mrefu hali iliyosababisha kifo cha ghafla.


Marehemu Thomas Lipuka Komba ni miongoni mwa waanzilishi wa chama cha waandishi wa habari Ruvuma RPC mwaka 1995 alikuwa mwanachama mwaminifu hadi kifo chake.


Tunawashukuru wale wote walotuombea tusafiri salama tunapenda kuwajulisha kwamba tumeludi salama.Picha na Mpenda Mvula

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages