KWELI MBUNGE FILIKUNJOMBE NI MBUNGE WA WATU
Mbunge wa Jimbo la Ludewa, Deo Filikunjombe akiwa amejitwisha
kichwani ndoo ya maji juzi baada ya Kiongozi wa Mbio za Mwenge
Kitaifa, Rechel Kassanda kuzindua mradi huo wa maji katika Kijiji cha
Kipangala Ludewa mradi ambao ulitokana na ahadi za mbunge huyo kwa
wananchi wa kijiji hicho. (PICHA NA FRANCIS GODWIN)
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269