Waziri Mkuu wa zamani, Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akijadiliana jambo na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Mh. Benjamin Mkapawakati wa Sherehe za Jubilei ya Miaka 25 ya Uaskofu wa Askofu Mkuu wa Jimbo la Iringa, Mhashamu Tarcisius Ngalalekumtwa,iliyofanyika Julai 01,2014 kwenye Kanisa Kuu la Katolini Mjini Iringa.
Waziri Mkuu wa zamani, Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono kwa kuwasalimia waumini waliofika kwenye Sherehe za Jubilei ya Miaka 25 ya Uaskofu wa Askofu Mkuu wa Jimbo la Iringa, Mhashamu Tarcisius Ngalalekumtwa, iliyofanyika Julai 01,2014 kwenye Kanisa Kuu la Katolini Mjini Iringa.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269