Breaking News

Your Ad Spot

Jul 2, 2014

PSPF KATIKA MAONYESHO YA SABASABA, DAR ES SALAAM

 Wanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, hupata fursa ya kujionea na kujifunza mambo mbalimbali ikiwemo kujua fursa ya kujipatia mikopo ya nyumba kama huyu (Kushoto), aliyetembelea banda la PSPF lililoko kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam, viwanja vya Mwalimu Nyerere, jijini
 Ofisa wa PSPF, (Kushoto), akimpatia maelzo ya kina mwanachama huyu aliyefika kwenye banda hilo
 Mwanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, (Kushoto), akiuliza maswali huku Afisa Masoko wa Mfuko huo, Bi. Rahma, akimsikiliza kwa makini, wakati alipotembelea banda la PSPF, lililo kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam, viwanja vya Mwalimu Nyerere, jijini
 Mfuko wa Pensheni wa PSPF, hutoa huduma kwa wanachama wake kwa njia mbalimbali ikiwemo ile ya "Kiosk", ambapo bila shaka Mwanachama huyu (Kulia), alihitaji kujua utendaji kazi wake, na hapa anapatiwa maelezo ya klutosha
Afisa nmwandamizi anayeshughulikia mifumo ya taarifa na elektroniki wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Mariam Saleh (Kulia), akijadiliana jambo na maafisa wengine wa Mfuko huo juu ya namna bora ya kutoa huduma kwa wanachama na wananchi wanaotembelea banda la PSPF kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere maarufu kama Sabasaba. NA MPIGAPICHA MAALUM

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages